top of page

Mungu Baba, Muumba Wetu

Mungu Baba, Muumba wetu – vipaji vyetu pokea-

Baba, twakutolea vyote – Baba, upokee.

Mkate na divai yetu - Baba, upokee vyote

Fedha na mazao yetu - Baba, upokee


Nyoyo zetu zenye toba -

Udhaifu wa miili yetu


Nasi pia mali yako

Hata na watoto wetu


Shida na furaha yetu

Na unyonge wa maisha


Pia na matendo yetu

Hata na mawazo yetu


Tena na maombi yetu

Hata na kilio chetu


Pia na masifu yetu

Hata na shukrani zetu

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page