top of page

Mungu Amepaa


Mungu amepaa kwa kelele, kelele za shangwe x2 Bwana kwa sauti (kweli) Bwana kwa sauti amepaa (Bwana) Bwana kwa sauti amepaa (Bwana) Bwana kwa sauti ya baragumu (kwa sauti) Bwana kwa sauti (kweli) Bwana kwa sauti amepaa (Bwana) Bwana kwa sauti amepaa (Bwana) Bwana kwa sauti ya baragumu.

  1. Enyi watu wote pigeni makofi tena pigeni, mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe, kwa kuwa Bwana aliye juu mwenye kuogofya, ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote.

  2. Mungu amepaa amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti sauti ya baragumu, Mwimbieni Mungu mwimbieni Mungu tena imbeni, mwimbieni mfalme wetu msifuni yeye.

  3. Maana Mungu Mungu ndiye mfalme wa dunia yote, imbeni kwa akili zenu imbeni kwa shangwe, Mungu amiliki Mungu amiliki mataifa yote, ameketia kiti chake kitakatifu.

18 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page