top of page

Mtu wa Mungu

Mtu wa Mungu mtakatifu FransiskoYeye aliacha nyumba yake (tena) alitoa urithi wake wote

(lakini) Bwana Mungu yeye ,alimpokea) x2

  1. Baba yetu Mtakatifu Frasisko, yeye ni mfano bora katika maisha.

  2. Ni rafiki ya walio masikini, kati yao aliishi kama ni fukara.

  3. Maneno ya mapenzi yalimuasi, Baba alishuhudia aishi fukara

  4. Wafuasi wengi alijaliwa , neno lake Bwana Mungu wakalitangaza

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page