top of page

Mtolee Mungu


  1. Sasa ndio wakati wa kutoa sadaka jitayarishe mkristu ukamtolee Bwana, kikubwa au kidogo kwake sio tatizo bora umtolee kwa moyo moyo safi

  2. Uhai amekupa afya kakujalia nafasi yako sasa urudishe shukrani, kazini unaenda mshahara wapata sio bidii yako bali ni kwa neema

  3. Mvua inyeshapo mimea husitawi mavuno unapata ni kazi yake Mungu, wafanya biashara faida unapata sio bidii yako bali ni kwa neema

5 views0 comments

ความคิดเห็น

ได้รับ 0 เต็ม 5 ดาว
ยังไม่มีการให้คะแนน

ให้คะแนน
bottom of page