top of page

Mtakatifu Yosefu

Mtakatifu Yosefu Baba wa familia (mpole), Mtakatifu Yosefu mnyenyekevu mkarimu, mvumilifu. Mtakatifu Yosefu mlinzi na mlishi wake Yesu Kristu, utuombee sisi Mtakatifu Yosefu msimamiza wa kanisa utuombee sisi Yosefu msimamiza wa wafanya kazi, utuombee sisi. (Mchumba wake aliye na usafi kamili utuombee sisi mchumba wake aliye mzaa yesu, utuombee sisi.

  1. Uliweza kusikiliza sauti ya Mungu, na pia uliyatenda aliyo kuagiza, (Yosefu utuombee tuishi kama wewe)x2 tuombee tufike mbinguni

  2. Hata katika giza wewe uliona njia, na pia ulizipenda kazi za mikono yako, (Yosefu utuombee tuishi kama wewe)x2 tuombee tufike mbinguni

  3. Ulizaliwa katika ukoo wa Daudi, uliyefanya kazi yako ya seremala, (Yosefu utuombee tuishi kama wewe)x2 tuombee tufike mbinguni

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page