top of page

Mtakatifu Cecilia

Katika karne ya tatu kule Italia Italia kule Roma, kulikuwa na mfadhili Cecilia *2 Cecilia Mtunzi wa nyimbo zetu Cecilia Cecilia Cecilia Mama Mama Mshupavu

Cecilia mfano kwetu sisi. Cecilia mtumishi wa Mungu Cecilia msimamizi wetu Cecilia msimamizi wetu


Cecilia mwenye msimamo Utuombee Mama wa imani Wewe ndiwe kiongozi mwema Wewe ndiwe kiongozi mwema


Tunaomba mwongozo wako Ili tuwe na nguvu dhabiti Tueneze neon lake Mungu Tueneze neon lake Mungu


Cecilia tupe ujasiri Tuwe na ule moyo wa upendo Tukafanye kazi yake Mungu Tukafanye kazi yake mungu

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page