top of page

Mtakatifu- Bura, Tana

S/B : Mtakatifu, mtakatifu, Bwana Mungu wa majeshi x2

A/T : Mtakatifu x3, Bwana Mungu x2, wa majeshi.

All : Mbingu na dunia kweli zimejaa, utukufu wako mkuu x2

Sop: Hossana x5 juu mbinguni

Alto : Hossana x4, Juu mbinguni

T/B : Hossana x5 juu mbinguni

S/B : Mbarikiwa ajae kwa(ke) jina lake Bwana Mungu

A/T : Mbarikiwa x3 Jina lake x2 Bwana Mungu

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page