AnonymousMtakatifu- BangoMtakatifu Bwana, Mungu wa majeshi, mbingu na dunia zimejaa utukufu wako x2Hossana juu mbinguni, hosanna juu mbinguni, hosanna, hosanna, hosanna, hossana juu mbinguni x2Mbarikiwa yeye, yule ajaye, yule ajaye, ajaye kwa jina la Bwana x2
Mtakatifu Bwana, Mungu wa majeshi, mbingu na dunia zimejaa utukufu wako x2Hossana juu mbinguni, hosanna juu mbinguni, hosanna, hosanna, hosanna, hossana juu mbinguni x2Mbarikiwa yeye, yule ajaye, yule ajaye, ajaye kwa jina la Bwana x2
Коментарі