top of page

Msifadhaike

1. Msifadhaike (msifadhaike) mioyoni mwenu mwaamini, Mungu Baba mbiguni amini amini amnini x2

Nyumbani mwa Baba, mna makao, mkijitahidi, kuomba, njumbani mwa Baba, mna makao kijitahidi (nafasi ziko) nafasi zisingalikuwako ningaliwaambia, (leo napenda kwenda mimi kwenda mahali kwenda mimi (kuandaalia) kisha nitakwenda na nyinyi kwa Baba) x2

2. Tomaso akamwambia Bwana sisi hatujui uendako wewe, nasi twaijuaje njia x2

3. Mimi ndimi njia (mimim ndimi njia) ya ukweli na uzima, mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi x2

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page