top of page

Mshukuruni Mwokozi

Mshukuruni Mwokozi enyi watu wote, mwimbieni Bwana wimbo mzuri kwa furaha, mpigieni makofi na vigelele (Bwana) mshukuruni Mwokozi enyi mataifa

  1. Bwana ni mwema ni mwenye huruma fadhili zake zadumu milele yote.

  2. Kumcha Mungu wetu ni tendo la hekima wana heri wote wenye kumtunza.

  3. Bwana ametamalaki ndiye Mungu wetu, mshangilieni kwa furaha na vigelegele

4 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page