top of page

Mshukuruni Bwana


Mshukuruni Bwana, Mshukuruni Bwana Mungu kwa kuwa ni mwema Kwa maana fadhili zake ni za milele) x2

  1. Nani awezaye kuyanena matendo makuu ya Bwana, Kuzihubiri sifa zake zote

  2. Akaikemea bahari ya shamu ikakauka Akawaongoza vilindini kana kwamba ni mchanga

  3. Akawaokoa na mkono wa mtu aliyewachukia Na kuwakomboa na mkono wa adui zao

  4. Maji yakawafunika watesi wao Hakusalia hata mmoja wao

4 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page