top of page

Msalabani Yesu Alilia

Msalabani Yesu alilia Mungu wangu mbona waniacha x2


Makuhani walifurahi

Bwana Yesu alipokufa

Watu wengi walisema

Maneno mengi yasiyofaa


Dunia yote ilitetemeka

Bwana Yesu alipokufa

Watu wengi walishtuka

Kweli huyu ni mwana wa Mungu


Ilipofika alasiri

Dunia yote ikawa giza

Papo hapo pazia ya hekalu

Ilipasuka vipande viwili


Ndugu na dada siku ya leo

Msiwe kama yule Thomaso

Amini leo na kutubu dhambi

Mtasamehewa na Bwana Yesu

43 views0 comments

留言

評等為 0(最高為 5 顆星)。
暫無評等

新增評等
bottom of page