top of page

Msalabani

Msalabani (msalabani) Yesu alilia Mungu wangu (Mungu wangu) mbona waniacha x2

1. Makuhani walifurahi Bwana Yesu alipokufa, watu wengi walisema maneno mengi yasiyofaa

2. Ilipofika alasiri inchi yote ikawa giza, papo hapo pazia la hekalu likapasuka vipande viwili

3. Ndugu na dada hivi leo tusiwe kama Yule Thomasi, amini kweli, utubu dhambi, utaokolewa na Bwana Yesu.

7 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page