top of page

Mpokee Mtumishi Wako



  1. Ee Mungu Baba Mwenyezi tuko hapa mbele zako, Tunakulilia Baba utusikilize) x2

  2. Usiyakumbuke Baba makosa aliyotenda, umsamehe makosa ya ujana wake x2

  3. Fariji roho za wote wanaohuzunika, uwape matumaini uwape tulizo x2

  4. Ee Bwana ungehesabu, makosa ya wanadamu, ni nani angesimama mbele yako wewe x2

  5. Ee Mungu mwenye rehema kumbuka rehema zako, maana zimekuwapo tokea zamani x2

6 views0 comments

Comentários

Avaliado com 0 de 5 estrelas.
Ainda sem avaliações

Adicione uma avaliação
bottom of page