top of page

Mpigieni Mungu


1. Mpigieni Mungu kelele za shangwe, nchi yote imbeni utukufu wake, tukuzeni sifa zake Mungu mkuu.

Mwambieni Mungu, matendo yako yanatisha kama nini, tukuzeni sifa zake Mungu mkuu x2

2. Nchi yote itakusujudia ,na kukuimbia (naam) italiimbia jina lako (njooni )njooni tazameni matendo ya Mungu kageuza bahari kuwa nchi kavu,katika mto walivuka kwa miguu

3. Huko ndiko tulikofurahia, mtawala milele, (naam) atawala kwa uwezo wake (njooni) njooni sikieni enyi wenye kumcha Nami nitatangaza aliyoyatenda, na ahimidiwe sana Mungu mkuu.

5 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page