top of page

Mpeni Mungu Zawadi

Mpeni Mungu zawadi mlizo nazo mpeni Mungu zawadi zenu x2

(Toeni kwa uwezo wenu – Mungu anaziona roho toeni kingi toeni kidogo) x2

1. Mkate wetu ee Bwana tunakutolea, ni mazao ya mashamba yetu / uubariki Bwana uupokee.

2. Divai ni yetu ee Bwana tunakutolea, ni mazao ya mashamba yeu / uibariki ee Bwana uipokee.

3. Na fedha zetu ee Bwana tunakutolea, ni juhudi za mikono yetu / uzibariki ee Bwana uzipokee.

4.Na sala zetu ee Bwana tunakutolea, twakusihi uzisikilize / uzibariki ee Bwana uzipokee.

6 views0 comments

댓글

별점 5점 중 0점을 주었습니다.
등록된 평점 없음

평점 추가
bottom of page