top of page

Moyo acha Kiherehere cha Dhambi



  1. Eeh moyo wangu tulia tulia kwa bwana Usinipeleke kwenye tamaa za dunia


Tulia moyo wangu ( tulia) Tulia moyo tulia moyo usinigombanishe ( na mungu) Mungu wangu


Ewe moyo acha kiherehere sukuma damu moyo Acha kiherehere sukuma damu Unanigombanisha (na baba) na Baba yangu na baba yangu Unanigombanisha na mungu na mungu wangu

Ewe moyo acha kiherehere tulia kwa bwana


2. Eeh moyo wangu tulia (tulia) kwa bwana Chuki hasira sinitenge na uwepo wa bwana


3. Eh moyo wangu tulia tulia kwa bwana dhambi na mizizi yake isiote ndani yangu

643 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page