top of page

Mke Wako Atakuwa

Mke wako atakuwa kama mti wa mzabibu,

(wenye kuzaa matunda ndani ya nyumba

yako) x2


Mke wako atakuwa kama mzabibu, wenye

kuzaa matunda ndani ya nyumba yako.


Bwana atawabariki kutoka sayuni,

wamtukuze Mungu Baba daima na milele.


Familia yenu iwe familia bora,

yenye kumcha Mungu daima na milele.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page