top of page

Mke Mwema

Mke mwema mke mke ni nani awezae kumuona kimo chake kimo chapita kimo cha marichani (moyo wa mumewe) unamwamini wala hatakosa )-kupata mapato x2

  1. Humtendea mema wala si mabaya siku zake sote za maishani .

  2. Hutafuta sufu-sufu za kitani-taa yake haizimiki usiku.

  3. Huwakunjukia maskini mikono – huwanyoshea wahitaji mikono.

  4. Mwanamke yule amchae Bwana – na huyo ndiye atakayesikiwa

  5. Humpa mapato ya mikono yake – na afanye kazi yake hata usiku.


0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page