top of page

1. Niko hapa kumhubiri bwana mungu wetu aliye tuumba kwa Sura na mfano wake akatuleta duniani tumtumikie ndio maana leo nina mhubiri mungu nimejitoa kwake kwa hiari na kwa moyo

pale palipo giza nitaipeleka nuru mimi hapa mjumbe tu


(Ni mjumbe niliyetumwa na mungu niyahubiri matendo yake mungu mwenyezi) ×2


2. Mungu anawapenda jaribuni kumsikia Kamtuma mjumbe apate kuwakumbusha Muwe watu wema na mfano wa kuigwa pendaneni kama alivyo wapenda mungu


3. Kamtuma mwanaye ili tuziishi na dhambi akakubali afe yote ni Kwa ajili yetu jifanyie tafiti utaacha lini dhambi ili uwe mwanaye mwema akupendaye


4. Mafundisho ya mungu Yana wataka mpendane muishi kama ndugu tena msibaguane tena mle na kunywa na kufulahi pamoja

Muwe watu wenye huruma kwa wengine


5. Haya naenda zangu msiache kumcha mungu maana kumcha mungu ndicho chanzo cha maalifa jiwekee hazina isio cha-cha mbinguni kila siku ikifika ufikwe taji


Kumcha bwana mungu ni chanzo cha maalifa ni chanzo) ×2

Kumcha mungu wetu ni chanzo cha maalifa ni chanzo kumcha bwana ni chanzo cha maalifa ni chanzo ) × 2

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page