top of page

Mji wa Yerusalemu

1. Mji wa Yerusalemu umetayarishwa sana, milango kumi na mbili ya watu wa Mungu, imeandikwa majina ya watu wa Mungu, na majina ya ukabila ya Waisraeli x2


Oh oh – upande wa mashariki milango mitatu, upande – upande wa magaribi milango mitatu, ya kuingia kabila ya waisraeli x2


2. Yesu atakaporudi kuchukuwa watu wake, wengine watakimbia siku ya hukumu, na majeshi mia moja na nne na nne elfu, wataimba aleluya na Mwanakondoo x2


3. Siku ya kuja kwa Bwana imekaribia sana, na wewe ndugu na dada ungali dhambini, Yesu kweli anajua wale watu wake, siku hiyo ifikapo utakuwa wapi? x2

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page