top of page

Mimi Ninakuja

Mimi ninakuja, Mimi ninakuja na zawadi ndogo Bwana pokea x2


Mkate na Divai - Bwana pokea

Twakutolea leo- Bwana pokea

Toa kama Abel - Bwana pokea

Alitoa Kondoo - Bwana pokea


Toa kama Abrahamu - Bwana pokea

Alitoa mwanawe- Bwana pokea

Na pia nafsi zetu - Bwana pokea

Vyote tulivyo navyo- Bwana pokea


Furaha na uchungu- Bwana pokea

Na kiini cha ngano - Bwana pokea

Na tunda la mzabibu- Bwana pokea

Fedha za mifukoni- Bwana pokea


Nafaka upokee - Bwana pokea

Twakutolea vyote- Bwana pokea

Kwako Baba Muumba- Bwana pokea

Kwa njia ya Mwokozi- Bwana pokea


Katika mfariji - Bwana pokea

Utupe na faraja - Bwana pokea

Iweze kutufaa- Bwana pokea

Pokea twakuomba- Bwana pokea


Igawa ni kidogo- Bwana pokea

Twakutolea kwa Moyo- Bwana pokeav

Baba usikatae - Bwana pokea

Vipaji vya wanao.- Bwana pokea

1 view0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page