top of page

Mimi Nimewachagua Ninyi

Mimi nimewachagua ninyi duniani mimi

nimewachagua duniani x2 ili mpate

kwenda kuzaa matunda na matunda yenu

yadumu, yadumu siku zote x2


Si ninyi mlionichagua mimi,

Bali ni mimi nimewachagua ninyi


Nami nimewachagua kwenda kuzaa

matunda, na matunda yenu yadumu ili

kwamba, lolote mumwombalo Baba kwa

jina langu awape


Iwapo ulimwengu ukiwachukia, mjue

kwamba, umenichukia mimi kabla ya

kuwachukia ninyi

11 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page