top of page

Mimi Ni Mzabibu

Mimi ndimi mzabibu wa kweli, mimi ni mzabibu wa kweli nanyi mmatawi wa kweli, mimi nimzabibu

  1. Na Baba yangu ndiye mkulima wa kweli , kila tawi lisilozaa Baba hulikata , nalo tawi lizaalo , Baba hulisafisha ili lizidi kuzaa

  2. Kaeni nyote ndani yangu mimi,nami nikae ndani yenu kwa maana mtu , akaae ndani yangu nami ndani yake huyo huzaa matunda

  3. Mimi ni mti, mti wa zabibu ,nanyi ndinyi matawi ya mzabibu huu, tawi linalojitenga kutoka kwa mti huu, hunyauka , tena hufa

1 view0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page