top of page

Mimi Ndimi Njia

Bwana akawaambia tena akasema (mimi ndimi njia, ukweli na uzima x 2) mtu haji kwa Baba yangu ila kwa njia yangu mimi, mimi…. Uzima.

  1. Mtu akinipenda atalishika neno langu na Baba yangu atampenda.

  2. Kaeni ndani yangu nami nikae ndan yenu kwa maana mimi ni mzabibu.

  3. Mimi ni njia kweli mimi ni njia ya uzima ajaye kwangu ana uzima.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page