top of page

Mimi Ndimi Mzabibu wa Kweli

Mimi ndimi mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima

Tawi- ndani yangu lisilozaa, nitaliondoa na kulitupa x2

  1. Tawi lizaalo matunda mema, Baba, hulistawisha vizuri mno

  2. Mimi mimi ni mzabibu wa kweli, nanyi, nanyi ni matawi yangu

  3. Nje yangu mimi hamuwezi, kuzaa, kwani ninyi ni matawi tu

  4. Njoni, njoni nyote ndani yangu, nami, nami ndani yenu nifike

  5. Mzi-shike amri ninazowapa, kama, nilivyoshika zake Baba.

4 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page