top of page

Mimi Ndimi Chakula

Mimi ndimi chakula cha uzima x2 yeye ajaye kwangu, hataona njaa, mimi ndimi chakula cha uzima x2

1. Aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu, hukaa ndani yangu, nami ndani yake kweli.

2. Asiyekula chakula hiki, hana uzima kamwe, baba zenu walikula maana jangwani, kweli.

3. Chakula nitakachotoa ni mwili na damu yangu, kuleni kunyweni wote mpate uzima milele, kweli

4. Kweli mapenzi ya Baba yangu aliyenituma, ya kwamba nisimpoteze hata mmoja wenu, kweli

13 views0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page