top of page

Mimi Binadamu

Mimi binadamu, mimi ni kiumbe x2 ninapotembea ninamsahau Mungu, ninamsahau Mungu, aliyeniumba (ninaingia) katika dhambi kwa moyo wangu, mawazo yangu, matendo yangu pamoja na maneno yangu. Mwili wangu wote haufai mbele za Mungu Baba x2

  1. Bwana wewe wanijua mimi ni kiumbe dhaifu siku, zote (na kulilia Bwana) Bwana nakuomba siniache katika udhaifu siku zote (ee Bwana niokoe) x2

  2. Bwana nakuomba unipe uwezo niwe imara siku,zote (nakulilia Bwana) uniimarishe uniondolee udhaifu huu siku zote (ee Bwana niokoe) x2

0 views0 comments

Comentários

Avaliado com 0 de 5 estrelas.
Ainda sem avaliações

Adicione uma avaliação
bottom of page