top of page

Mfalme wa Amani Tumwimbie

Mfalme wa Amani - tumwimbie hosanna juu *2

Anakuja kwetu - hosanna juu Mwana wa Daudi - hosanna juu


Anapanda punda - hosanna juu Mfalme mtukufu - hosanna juu


Tumshangilie - hosanna juu Aleta amani - hosanna juu


Njooni na matawi - hosanna juu Furaha na shangwe - hosanna juu


, Tandikeni nguo - hosanna juu Miguuni pake - hosanna juu


Ameumba vyote - hosanna juu Atawala vyote - hosanna juu


Njooni Mahebruni - hosanna juu Njooni na watu wote - hosanna juu


Imbeni zaburi - hosanna juu Mfalme aingie - hosanna juu


Mbarikiwa huyo - hosanna juu Yeye ajaye - hosanna juu


Hosanna hosanna - hosanna juu Hosanna hosanna - hosanna juu

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page