top of page

Mfalme wa Amani Anakuja

Mfalme wa amani anakuja kwetu, Mwana wa Daudi mshangilieni.x2

1. Yerusalem aingia Bwana Mwana wa Daudi mshangilieni, ni mnyenyekevu aingia Bwana, Mwana wa Daudi mshangulieni.

2. Kapanda punda aingia Bwana, Mwana wa Daudi mshangilieni, hosana juu aingia Bwana, Mwana wa Daudi mshangilieni.

3. Tandika tawi angia Bwana, Mwana wa Daudi mshangilieni, tandika nguo aigia Bwana, Mwana wa Daudi mshangilieni.

4. Ni Mbarikiwa aingia Bwana, Mwana wa Daudi mshangilieni, yuaja kwetu aingia Bwana, Mwana wa Daudi mshangilieni.

1 view0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page