top of page

Mfalme Ndiye Kristu


Mfalme ndiye kristu na mwokozi wetu tumwimbie leo na tumshangilie x2 (Astahili sifa na enzi na ukuu nguvu utukufu vyote ni vyake yeye ) x2

  1. Aliadhimishwa naye Mungu Mwenyezi, huyo mfalme wa mbinguni Yesu Kristu, Baada ya kushinda vita duniani, huyo mfalme wa mbinguni Yesu Kristu.

  2. Kila goti litapigwa kwa ajili yake, huyo mfalme wa mbinguni Yesu Kristu, Wote waimbe nyimbo za kumsifu Yeye huyo mfalme wa mbinguni Yesu Kristu.

  3. Sisi twajivunia kuwa na mfalme huyo, kwani yeye anatambulika uwinguni, Yeye atakuelekeza kwa Mungu Baba, kwani yeye anatambulika uwinguni

  4. Yeye ndiye mwanzo tena pia ndiye mwisho, huyo mfalme wa mbinguni Yesu Kristu, Hakuna mwingine atakuja kumrithi, huyo mfalme wa mbinguni Yesu Kristu.



4 views0 comments

Commentaires

Noté 0 étoile sur 5.
Pas encore de note

Ajouter une note
bottom of page