top of page

Mfalme Mtukufu

Mfalme mtukufu mpeni heshima Fungueni lango ataingia Mfalme gani huyu mwenye heshima Ndiye mwenye nguvu ya kutawala

Lango la milele wazi funguka Kwani mfalme wetu anaingia Mfalme gani huyu mwenye heshima Bwana wa malaika mwenye Imara


Enyi binadamu wenye ibada Na majeshi yote ya malaika Tumwabudu Bwana tukamsifie Tukamtukuze neno, tukamnyenyekee

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page