top of page

Mezani Pake



Mezani pake twendeni wote tukampokee ametualika x2

1. Mwili wake ni chakula kweli damu yake kinywaji safi

2. Alaye mwili na kunywa damu ana uzima wa milele

3. Mbele ya kwenda tujitakase tutastahili kumpokea

4. Karibu Yesu ukae nasi njia zako utufundishe

5. Na mwisho tufurahie nawe katika utukufu wako

1 view0 comments

Comentarii

Evaluat(ă) cu 0 din 5 stele.
Încă nu există evaluări

Adaugă o evaluare
bottom of page