top of page

Meza ya Bwana

Meza ya Bwana iko tayari, hima twendeni kwa karamu x2

1. Tujongee mezani pake - Bwana Yesu atuita, Kwa chakula chenye uzima - Bwana Yesu atuita

2. Tujongee mezani pake - Bwana Yesu atuita, Kwa kinywaji chenye uzima - Bwana Yesu atuita

3. Tujongee mezani pake - Bwana Yesu atuita, Ukumbusho wa kifo chake - Bwana Yesu atuita

4. Tujongee mezani pake - Bwana Yesu atuita, Ni karamu ya mapendano - Bwana Yesu atuita

5. Tujongee mezani pake - Bwana Yesu atuita, Kwa chakula chenye uzima - Bwana Yesu atuita

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page