top of page

Meza ya Bwana

Meza ya Bwana imeandaliwa Njooni nyote (all) tunjongee

Atualika sisi wote wenye njaa pia na wenye kiu (Natujongee mezani pake tule na tuburudike) x2

1. Damu yake Yesu kinywaji cha uzima (S) cha Roho (ALL) roho zetu x2

2. Mwili wake Yesu chakula cha uzima (S) cha roho (ALL) roho zetu x2

3. Waumini wote mjitayarishe (S) mwaalikwa (ALL) karamuni x2

4 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page