top of page

Mbingu zimenena


Mbingu zimenena leo x2 Na mawingu mawingu oh oh yakammwaga Mawingu yakammwaga mwenye hadhi Uu uu [uu] nchi ikakombolewa Uu uu [uu] Dunia ikatakata Uu uu [uu] Mwenyezi akatukuka Uu uu [uu] nasi tunakuimbia

  1. [Naye neno ooh] naye neno Alifanyika mwili akakaa kwetu [Nasi tukauona utu-] Nasi tukauona Utukufu wa Mungu io io io utukufu wa Mungu

  2. Ulimwengu wa raha leo Ulimwengu wa raha unashangilia Nazo mbi-ingu nazo mbingu nazo Mbingu zatabasamu, {zinarukaruka [zina] x2) Zina rukaruka kwa shangilio

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page