top of page

Mateso Yako

Mateso yako, (Bwana) Ee Bwana Yesu, ni kwa ajili yetu x2

  1. Unisikilize, mimi ni fukara,

  2. Ndiwe Mungu wangu unihurumie,

  3. Ninakulilia, ewe Bwana wangu,

  4. Mimi ni mkosefu, uniangalie,

  5. Uje Mungu wangu, wala sikawie,

  6. u msaada wangu, na Mwokozi wangu,

  7. Kaa nami Bwana, na usiniache.

  8. Ninakuimbia, wimbo wa shukrani,

0 views0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page