top of page

Mataifa Yote- Zaburi ya Siku ya Epifania


Mataifa yote ya ulimwengu watakusujudia Ee Bwana

  1. Ee Mungu, umpe mfalme hukumu yako, na mwana wa mfalme haki yako;/ ahukumu taifa lako kwa haki, na wanyonge kwa usawa

  2. Katika siku zake haki iendelee, na haki izidi mpaka mwezi ukome, atawale toka bahari hata bahari na toka ule mto hata miisho ya dunia.

  3. Wafalme wa Tarshishi na visiwa watatoa kodi, wafalme wa Sheba na Seba watatoa zawadi, Wafalme wote wa dunia watamwangukia, mataifa yote watamikia

  4. Mama atamkomboa maskini mwenye kumlilia, na mnyonge asiye na msaidizi. / Atamhurumia dhaifu na anayaokoa maisha ya wahitaji

35 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page