top of page

Masihi Amezaliwa Wapi

1. Masihi amezaliwa wapi, hao ni mamajusi, kwani sisi tumetoka mbali, nyota tumeiona x2


Na wewe mji wa Daudi ambaye u mdogo sana, Masihi atazaliwa kwako (ata zaliwa kwako) x2


2. Malaika waimba mbinguni, wakimsifu Mungu, na wachungaji wasujudia, Bwana Yesu Mwokozi x2.

3. Ewe Yusufu na Mariamu, kimbieni Misiri, mfalme ataka mwaga damu, hiyo iwe ni siri x2

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page