top of page

Mashujaa wa Imani

Hawa ndio wale ambao walipoishi x2 Kweli walipanda kanisa kwa damu yao x4


Walikunywa kikombe cha Bwana wakawa marafiki wa Mungu


Mbingu zahubiri utukufu wako anga latangaza kazi za mikono yako


Sauti yao imeenea nchi nzima na maneno yao hata miisho ya dunia


Usihofu kukiri imani, yake Kristu kwa watu wa mataifa


Tuishike imani ya kweli yake Kristu ili tupate uzima

5 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page