top of page

Maria Mwombezi

Maria mwombezi sisi wana wako katika

shida zetu tuwie kinga yetu (Maria)

Twakuomba sana tupe neema zako

tuyashinde magumu tufike kwa mwanao.


Maria mama kimbilio letu

Uwe kinga pia tulizo letu.


Kwenye majaribu ya ibilisi

Tupe msaada tuweze kushinda.


Mama kimbilio la wakosefu

Wastahili faraja ya mwanao.


Maria tulizo la wenye dhiki

Wapatie faraja na amani.

5 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page