top of page

Maria Mwombezi


Maria Mwombezi, sisi wana wako Katika shida zote, tuwie kinga yetu Maria, twakuomba sana, tupe neema zako Tuyashinde magumu, tufike kwa mwanao

  1. Maria Mama kimbilio letu, uwe kinga pia tulizo letu

  2. Kwenye majaribu ya ibilisi, tupe msaada tuweze kushinda

  3. Mama kimbilio la wakosefu, wastahili faraja ya mwanao

  4. Maria tulizo la wenye dhiki, wapatie faraja na amani


3 views0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page