top of page

Mama Tunakusalimu


Salamu salamu Mama (Maria) umejaa neema tele (Ee mama) tunakusalimu Mama (Salamu) Mama tunakusalimu,

Sop/ Alto: Ee Maria dua na sala zetu tolea zifikishe mikono ya mwanao, ni Yesu mkombozi.

Ten/Bass: Maria Ee Maria tunazokutolea fikishe mikononi mwanao ndiye Yesu Mkombozi.


Ee mama wake Mungu, twakumimina sifa, kwa kumlea motto, ndiye Emanueli.


Salamu zetu mama, tunazokupa wewe, uzipokee mama, Ee mama salimika.


Mipango yake Mungu, ilitimia kwako, kwa kukubali wito, uwe mama wa Mungu.


Habari za manabii, za kumpata Masiha, zilitimia kwako, tukapata wokovu.

6 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page