top of page

Mama Pale Msalabani

  1. Mama pale msalabani, macho yatoka machozi, akimwona Mwanaex2

  2. Kweli vile akilia, uchungu kama upanga,ukampenya moyowe x2

  3. Mwenye moyo mgumu nani, asimhurumie basi,mama mlilia Mwana x2

  4. Ewe mama mtakatifu, usulibiwe na Yesu, moyo wangu m’nye dhambi x2

  5. Naye Mwokozi niteswe, na madonda nigawie, pamoja na Mkombozi x2

  6. Nisimame msalabani, niwe nami wako mwenzi, wa uchungu na msiba x2

  7. Nisianguke motoni, uniwie msimamizi, Ewe Bikira mwema x2

  8. Msikilize mama yako, niponye siku ya mwisho . Ewe Mwokozi wangu x2

  9. Nitakapokufa mimi, upokee roho basi, niende kwako Mungu x2

7 views0 comments

Kommentare

Mit 0 von 5 Sternen bewertet.
Noch keine Ratings

Rating hinzufügen
bottom of page