top of page

Mama Maria Tunakusalimu

Mama Maria Mama tunakusalimu, wewe uliyetukuka uwinguni x2

Tunajinyenyekeza mbele ya uso wako, tunakuimbia nyimbo zetu tunakusifu x 2

  1. Ee Mama wetu utusikilize sisi wanao tunakusalimu.

  2. Usitutupe tunapokujia, ee Mama wetu utukaribishe.

  3. Tunakujia tukiwa na shida utupokee ee Mama wa Mungu.

  4. Utupokee katika maovu, utuongoze katika maisha.

10 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page