top of page


Mama Maria pokea zetu salamu, twakusalimu ee Mama wa Mkombozi, leo twakuimbia tukikushangilia x2

1. Utuombee kwa mwanao Yesu Kristu, tupate heri na maisha ya furaha

2. Maombi yetu pamoja na sala zetu, zifike kwake Yesu Mkombozi wetu.

3. Twakusalimu salamu Mama Maria, mbarikiwa uliyejaa neema.

4. Twakuimbia kwa shangwe pia furaha, twakusalimu pokea zetu salamu.

64 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page