top of page

Mama Maria

Ee Mama Maria salama Mama Maria x 2

  1. Umebarikiwa Mama, kuliko wanawake wote- umebarikiwa.

  2. Naye Yesu mzawa wako, amebarikiwa mbinguni………..

  3. Bikira Maria Mama, utuombee wokosefu – kwa mwanao Yesu.

  4. Mama saa ya kufa kwetu, tusikilize tuombayo….

  5. Twaomba maombi yetu, ee Mama uyawasilishe….

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page