top of page

Mali ya Mungu



Kila kilicho juu ya nchi, ni mali yake Bwana, mwumba mbingu, kila kilicho juu ya nchi, ni mali yake Bwana, mwumba mbingu

  1. Mashamba ya Mungu, (yote) yote ya Mungu x2 Mazao ya Mungu, (yote) yote ya Mungu x2

  2. Mifugo ya Mungu, (yote) yote ya Mungu X2, Bahari ya Mungu, (yote) yote ya Mungu x2

  3. Na nyumba za Mungu, (zote) zote za Mungu x2, na fedha za Mungu, (zote) zote za Mungu x2

  4. Milima ya Mungu, (yote) yote ya Mungu x2, wanyama wa Mungu, (wote) wote wa Mungu x2


15 views0 comments

Комментарии

Оценка: 0 из 5 звезд.
Еще нет оценок

Добавить рейтинг
bottom of page