top of page

Makao Yetu

Wewe Bwana umekuwa (ae) makao yetu sisi kizazi baada ya kizazi x2. Kabla haijazaliwa milima (yote) wala haujaiumba dunia (dunia yote) na tangu milele yote ndiwe Mungu x2

  1. Wamrudisha mtu mavumbini, usemapo, rudini, rudini, rudini enyi wanadamu

  2. Maana miaka, elfu machoni pako, nikama siku, siku ya jana, ikiisha kupita, na kama kesha la usiku

  3. Wawagharikisha huwa kama usingizi he he asubuhi huwa kama majani yameayo. Asubuhi, huchipuka na kumea, jioni yakatika na kukauka


HITIMISHO

Na uzuri wa Bwana ho ho ho uzuri wa Bwana uzuri wa Bwana he he he uzuri wa Bwna Mungu wetu uwe juu yetu ho ho ho uwe juu yetu na kazi ya mikono yetu he he he. Ee Mungu uithibitishe utufanyie thabiti, kazi ya mikono yetu naam, kazi ya mikono yetu uithibitishe, na kazi ya...

5 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page