top of page

Majengo Mass

BWANA UTUHURUMIE.

(Bwana x 2) x 2 tunakuomba ‘tuhurumie.

(Kristu x 2) x 2 tunakuomba ‘tuhurumie.

(Bwana x 2) x 2 tunakuomba ‘tuhurumie.


UTUKUFU

Utukufu kwake Mungu juu mbinguni, na amani kote duniani (kwa watu wenye mapenzi mema (B:Kweli) x 2

  1. Tunakusifu (Ee Bwana) twakuheshimu (Oh tunakutukuza) KWANI wewe NDIWE uliye MWEMA.

  2. Twakushukuru (Ee Baba) mfalme wa mbingu (oh Baba mwenye enzi) EWE Mungu NDIWE uliye MWEMA.

  3. Uondoaye (ee Baba) dhambi za dunia (oh tusikilize) OMBI letu BABA Ulipokee.

  4. Tuhurumie (ee Baba) Baba mwenyezi (oh kristu anaishi Baba Mwana Roho milele yote (BABA MWANA YOTE)


NASADIKI

1. Nasadiki kwa Mungu Bba Mwenyezi. Nasidiki Muumba mbingu, nchi, nasadiki na vitu vyote, nasadiki.

Ninasadiki x4

  1. KWA Yesu Kristu mwanaye mwana wake Mungu kwa Bwana wetu mwenye kuzaliwa kwa Baba Akapata mwili sawa na sisi

  2. Kwezo wake wa Roho…. Kazaliwa kweli Naye bikira Kateswa kasulibiwa haya yote kweli Kwa ajili yetu

  3. Akafa na akazikwa Kafufuka kweli katika wafu kapaa mbinguni kwa baba Atarudi tena…. Kwa utukufu

  4. Atahukumu wazima hata wafu pia akisha rudi kwa roho mtakatifu na kanisa moja la katoliki

  5. Ushirika ‘takatifu ondoleo kweli la dhambi zote Ufufuko wa miili na uzima wote Milele yote

MTAKATIFU

Mtakaifu bwana Mungu – wetu:

Bwana Mungu wa majeshi – yote x 2.

Mbingu na dunia, zimejaa

Kweli utukufu:-Hosanna x 2.

Mbarikiwa aajaye – Bwana: kwa jina lililokuu – kweli x 2


BABA YETU

Baba yetu wa mbinguni jina lako litukuzwe. Ufalme wako utufikie. Utakalo lifanyike.

1. Duniani Baba – kama (mbinguni) – utakalo nalifanyike:

Tupe leo Bab mkate (twaomba) utakalo na lifanyike:

Mkate wetu Baba wa ki(-la siku) – utakalo na lifanyike.

2. Tusamehe makosa yetu, kama vile tunavyo wasemehe, waliotukosea (Baba Baba).

3. Situtie Baba kisha (wishini) / walakini Baba utu (opoe) / maovuni Baba tuna (kuomba).

4. Kwakuwa ufalme ni wa(ko Baba) / nguvu utukufu nivya (ko Baba) / hata milele yote (amina).

MWANAKONDO

Mwana Kondoo, wa Mungu ee… x 2

Uondoae, na dhambi zetu…….. x 2

Tuhurumie, twaomba sana ….. x 2

Utujalie, amani yote….


1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page